Dawa Za Aina 20 Zinazoweza Kukusababisha Uwe Na upungufu wa Kumbukumbu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,850
34,300
Hizi ni dawa 20 zinazoweza kukusababishia upungufu wa kumbukumbu.jpg

Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa. Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata matatizo mengine zaidi baada ya kutumia dawa.

Hizi dawa zimegawanywa katika makundi matatu, ambazo zinaweza kukusababishia kusahau:

1.Dawa za usingizi
Dawa za usingizi mara nyingi zinasababisha upungufu wa kumbukumbu, na zinaweza kukusababishia hali ya kama kuzimia au kama mtu alielewa. Kwa hiyo dawa hizi haziwezi kukupa usingizi unaotakiwa hili mwili uweze kujiponya.
Dawa maarufu ijulikanayo kwa jina Ambien, inafahamika kama "amnesia drug", (dawa ya usahaulifu)

VIDONGE VYA USINGIZI.jpg

2.Dawa za kupunguza mafuta mwilini

Hizi dawa ni dawa zenye uwezo mkubwa wa kuharibu ubongo, na zinatumika kushusha viwango vya choresterol mwilini.Hii ni kutokana na sababu kwamba 1/4 ya ubongo ina choresterol, inayohitajika kwa ajili ya kufikiria,kumbukumbu, na kujifunza.Hata hivyo dawa hizi zinasababisha usahaurifu na matatizo mengine ya kiafya.

3."Anti" Drugs
Zote antibiotic, antihistamines, antidepressants, antipsychotics, antispasmodics, zinadhuru uwiano wa acetylcholine kwenye mwili, ambayo ni muhimu sana inayohitajika kwa kumbukumbu na kujifunza.

Kwa ujumla hizi ni dawa zinazosababisha usahaulifu
-Antibiotic
-sleeping pills-Ambien,Lunesta,Sonata
-Painkillers-morpine,codeine,heroin
-Insulin
-Epilepsy-Dilantin au phenytoin
-Barbiturates-Nembutal,Phenobarbital,seconal,Amytal
-Antipsy-Mellaril,Haldol
-Parkinson disease-astropine,glycopyrrolate,scopolamine
-Benzodiazepines-Xanax,Valium,Dlmane,Ativan
-Quinidine
-Beata blockers
-High blood pressure drugs
-Interferons
-Naproxen
-Tricyclic antidepressants
-Methyldopa
-Lithium
-Antihistamines
-Steroids

Kama utatumia dawa hizi, hakikisha kuwa unawasiliana na daktari wako ili achunguze kama dawa hizi zitaweza kukupotezea kumbukumbu zako.
chanzo.Herbalist Dr.MziziMkavu
 
Ndiyo maana binafsi nimeachana na haya madawa ya kimagharibi.
Mimi na Tangawizi, Kitunguu saumu, Mlonge, Asali.
Bravo na uongeze na Glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu kila siku asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunywa glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu zitakukinga na maradhi na kukupunguza na kilo zako mwilini na utakuwa mtu mwenye afya nzuri. Uwe unakunywa kila siku maji lita 3 kama ni wewe ni Mwanamme la kama wewe ni Mwanamke kunywa kwa siku maji lita 2 tosha kukutibu kila maradhi.

MAJI NI UHAI.
 
Tangawizi ni dawa sana ya kuondoa sumu mwilini ziletazo kansa

Bravo na uongeze na Glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu kila siku asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunywa glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu zitakukinga na maradhi na kukupunguza na kilo zako mwilini na utakuwa mtu mwenye afya nzuri. Uwe unakunywa kila siku maji lita 3 kama ni wewe ni Mwanamme la kama wewe ni Mwanamke kunywa kwa siku maji lita 2 tosha kukutibu kila maradhi.

MAJI NI UHAI.

Hapa ni mwendo Wa tangawiz mbichi, asali+kitunguu swaumu,kutafuna majani ya mlonge/mbegu, kitunguu maji,haba soda hizo ndio dawa zangu na natumia Sana kwa nyakati tofauti.

safi sana chief,

Pamoja wakuu. Afya zetu ni muhimu.
 
View attachment 509057

Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa. Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata matatizo mengine zaidi baada ya kutumia dawa.

Hizi dawa zimegawanywa katika makundi matatu, ambazo zinaweza kukusababishia kusahau:

1.Dawa za usingizi
Dawa za usingizi mara nyingi zinasababisha upungufu wa kumbukumbu, na zinaweza kukusababishia hali ya kama kuzimia au kama mtu alielewa. Kwa hiyo dawa hizi haziwezi kukupa usingizi unaotakiwa hili mwili uweze kujiponya.
Dawa maarufu ijulikanayo kwa jina Ambien, inafahamika kama "amnesia drug", (dawa ya usahaulifu)

View attachment 509058

2.Dawa za kupunguza mafuta mwilini

Hizi dawa ni dawa zenye uwezo mkubwa wa kuharibu ubongo, na zinatumika kushusha viwango vya choresterol mwilini.Hii ni kutokana na sababu kwamba 1/4 ya ubongo ina choresterol, inayohitajika kwa ajili ya kufikiria,kumbukumbu, na kujifunza.Hata hivyo dawa hizi zinasababisha usahaurifu na matatizo mengine ya kiafya.

3."Anti" Drugs
Zote antibiotic, antihistamines, antidepressants, antipsychotics, antispasmodics, zinadhuru uwiano wa acetylcholine kwenye mwili, ambayo ni muhimu sana inayohitajika kwa kumbukumbu na kujifunza.

Kwa ujumla hizi ni dawa zinazosababisha usahaulifu
-Antibiotic
-sleeping pills-Ambien,Lunesta,Sonata
-Painkillers-morpine,codeine,heroin
-Insulin
-Epilepsy-Dilantin au phenytoin
-Barbiturates-Nembutal,Phenobarbital,seconal,Amytal
-Antipsy-Mellaril,Haldol
-Parkinson disease-astropine,glycopyrrolate,scopolamine
-Benzodiazepines-Xanax,Valium,Dlmane,Ativan
-Quinidine
-Beata blockers
-High blood pressure drugs
-Interferons
-Naproxen
-Tricyclic antidepressants
-Methyldopa
-Lithium
-Antihistamines
-Steroids

Kama utatumia dawa hizi, hakikisha kuwa unawasiliana na daktari wako ili achunguze kama dawa hizi zitaweza kukupotezea kumbukumbu zako.
mkuu source please!!
 
Sometimes inabidi tuwe tunaweka references, hii mtu anaweka maandishi kuhusu tangawizi au vitunguu swaumu kuwa tiba pasipo kuweka uthibitisho halali, inapotosha
 
Tunashukuru,Ila heading ingesomeka Aina 20 za dawa zenye madhara ktk ubongo.Ikiwa wewe mwandishi ni nje ya taifa la tz haina shida bali ikiwa ni mtanzania mwenzetu hapo umeteleza mno japo tumekuelewa.
 
Bravo na uongeze na Glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu kila siku asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunywa glasi 3 za Maji ya Uvuguvugu zitakukinga na maradhi na kukupunguza na kilo zako mwilini na utakuwa mtu mwenye afya nzuri. Uwe unakunywa kila siku maji lita 3 kama ni wewe ni Mwanamme la kama wewe ni Mwanamke kunywa kwa siku maji lita 2 tosha kukutibu kila maradhi.

MAJI NI UHAI.
kwanini mwanamke anywe lita mbili na mwanaume lita tatu??

binafsi nakunywaga zaid ya lita mbili

nahisi nakosea bila kujua
 
Mwanamke na Mwanamme ni Tofauti ukizidisha sio mabaya lakini kwa ushauri mzuri usinywe maji zaidi ya lita 2 kama ni wewe ni mwanamke labda kama unaumwa kunywa maji lita 3.
 
Back
Top Bottom