TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Ili iwe Fundisho Mimi Ningeshauri, Na ningekuwepo kama Mbunge wa Upinzani Ningefanya hivi. Wabunge wote Wanaume Wabebe Mikongoji heavy duty. Maana mbona akina Mkono wanabeba Kifimbo. Na wabunge wamama wavae Mikanda yenye bakoli nzito. Halafu wavae suruali. Sasa Iwapo itatokea Tena Mpuuzi yeyote kuleta askari bungeni (Sio wale askari wa Bunge) Basi wapigeni kwa Mikongoji, Bakoli za Mikanda na hata mkiwavunja mafuvu hawa mbwa sawa tu. Baada ya hapo nawahakikishia CCM hawatakaa kuchezea Demokrasia na Amani ya nchi. Hii Kuiba Kura nk. Ni kwa kuwa wameshaamini they can get away with it. Sasa wakijua Kuwa Hawawezi Kuwashitaki Mahakamani kwa Kumtwangia Askari Haramu hapo Ukumbini, Watashika Adabu. Really Toby? "Yes Nimesema hivi Nikiwa Na akili yangu timamu.Mkongojo Kama Huu, Msibebe yenye Visu, Watawasingizia ninyi ni Magaidi. Dada yangu Halima Mdee Huu mkanda Vipi, "Uwongo? Kweli?"
Mmh. Sio bange hizi kweli?!Ili iwe Fundisho Mimi Ningeshauri, Na ningekuwepo kama Mbunge wa Upinzani Ningefanya hivi. Wabunge wote Wanaume Wabebe Mikongoji heavy duty. Maana mbona akina Mkono wanabeba Kifimbo. Na wabunge wamama wavae Mikanda yenye bakoli nzito. Halafu wavae suruali. Sasa Iwapo itatokea Tena Mpuuzi yeyote kuleta askari bungeni (Sio wale askari wa Bunge) Basi wapigeni kwa Mikongoji, Bakoli za Mikanda na hata mkiwavunja mafuvu hawa mbwa sawa tu. Baada ya hapo nawahakikishia CCM hawatakaa kuchezea Demokrasia na Amani ya nchi. Hii Kuiba Kura nk. Ni kwa kuwa wameshaamini they can get away with it. Sasa wakijua Kuwa Hawawezi Kuwashitaki Mahakamani kwa Kumtwangia Askari Haramu hapo Ukumbini, Watashika Adabu. Really Toby? "Yes Nimesema hivi Nikiwa Na akili yangu timamu.Mkongojo Kama Huu, Msibebe yenye Visu, Watawasingizia ninyi ni Magaidi. Dada yangu Halima Mdee Huu mkanda Vipi, "Uwongo? Kweli?"
Mmh. Sio bange hizi kweli?!
Mmh. Sio bange hizi kweli?!
Sawa mkuu nimekuelewa
Ndio think tank wa chadema haoIli iwe Fundisho Mimi Ningeshauri, Na ningekuwepo kama Mbunge wa Upinzani Ningefanya hivi. Wabunge wote Wanaume Wabebe Mikongoji heavy duty. Maana mbona akina Mkono wanabeba Kifimbo. Na wabunge wamama wavae Mikanda yenye bakoli nzito. Halafu wavae suruali.
Sasa Iwapo itatokea Tena Mpuuzi yeyote kuleta askari bungeni (Sio wale askari wa Bunge) Basi wapigeni kwa Mikongoji, Bakoli za Mikanda na hata mkiwavunja mafuvu hawa mbwa sawa tu. Baada ya hapo nawahakikishia CCM hawatakaa kuchezea Demokrasia na Amani ya nchi. Hii Kuiba Kura nk. Ni kwa kuwa wameshaamini they can get away with it.
Sasa wakijua Kuwa Hawawezi Kuwashitaki Mahakamani kwa Kumtwangia Askari Haramu hapo Ukumbini, Watashika Adabu.
Really Toby? "Yes Nimesema hivi Nikiwa Na akili yangu timamu.
Mkongojo Kama Huu, Msibebe yenye Visu, Watawasingizia ninyi ni Magaidi.
Dada yangu Halima Mdee Huu mkanda Vipi, "Uwongo? Kweli?"
Yani Lusinde apange paringi na Lema teh teh teh...Uki-behave kama paka lazima uletewe mbwa!
Uki-behave kama Ng'ombe wataletwa farasi!
Uki-behave kama gaidi lazima kikosi maalum kikushukie!
Uki-behave kama muumini utatendewa kipadre au kishehe!
SERIKALI ITAINGIA POPOTE PALE(hata chumbani kwako ukiwa kwenye faragha) HASWA UNAPOTAKA KUHATARISHA USALAMA.
Hivi wabunge wa CCM wakiamua kulianzisha na kuanza kuwapa kichapo mtawaweza ???
Tumia hoja/lobbying ili ushawishi achana na vihoja au maguvu kwani utanyooshwa tu!
"SI MLITAKA CHAI CHAI IWEJE ULALAMIKE UNAUNGUA'' BY SIR NATURE
Tatizo kila inapotokea Jambo kama hilo tunapenda kukimbilia kujadili matokeo na kulaumu lakini CHAZO kikichopelekea tukio kutokea kinafumbiwa macho. Hebe TUJIULIZE .. Hivi walichofanya wapinzani kuvuruga mwenendo wa kikao cha Bunge ni sahihi? Hivi sababu iliyopelekea wao kufanya waliyofanya Ina mashiko na tija kwa Umma na Wapigakura waliowapeleka bungeni...? Hivi wanapong'ang'ania LIVE Coverage ni ili waonekane walichokisema au jinsi walivyo kisema ? Huo muda wa saa 5 mpaka saa 11 hivi Watanzania wanatakiwa wawe wanazalisha au wanaangalia luninga? Maswali ni Mengi ya kutafakari... Kama hawa kuridhika kwa nini wasitoe maoni kama inavyotakiwa kwa utaratibu na kama inabidi basi watoke in protest kwa utaratibu badala ya makelele na kusimama bungeni kuhakikisha kikao kinavurugika??!!! Najua kama kawaida wasiyo na hoja watakimbilia MATUSI sawa tu tumezoea ila Changia hili kwa hoja zenye mashiko.
Walifanya fujo baada ya kutokusikilzwa.Mbunge anaomba asikilizwe,kiti kinagoma.Wafanyeje kama minority?Tatizo kila inapotokea Jambo kama hilo tunapenda kukimbilia kujadili matokeo na kulaumu lakini CHAZO kikichopelekea tukio kutokea kinafumbiwa macho. Hebe TUJIULIZE .. Hivi walichofanya wapinzani kuvuruga mwenendo wa kikao cha Bunge ni sahihi? Hivi sababu iliyopelekea wao kufanya waliyofanya Ina mashiko na tija kwa Umma na Wapigakura waliowapeleka bungeni...? Hivi wanapong'ang'ania LIVE Coverage ni ili waonekane walichokisema au jinsi walivyo kisema ? Huo muda wa saa 5 mpaka saa 11 hivi Watanzania wanatakiwa wawe wanazalisha au wanaangalia luninga? Maswali ni Mengi ya kutafakari... Kama hawa kuridhika kwa nini wasitoe maoni kama inavyotakiwa kwa utaratibu na kama inabidi basi watoke in protest kwa utaratibu badala ya makelele na kusimama bungeni kuhakikisha kikao kinavurugika??!!! Najua kama kawaida wasiyo na hoja watakimbilia MATUSI sawa tu tumezoea ila Changia hili kwa hoja zenye mashiko.
Walifanya fujo baada ya kutokusikilzwa.Mbunge anaomba asikilizwe,kiti kinagoma.Wafanyeje kama minority?
Kila Jambo Lina utaratibu wa kujadili. Hakuna Uhuru usiyo na mipaka.Bunge lilipaswa kuwa sehemu huru, mahali ambapo jambo lolote laweza kujadiliwa.