Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

BB_DANGOTE

Member
Sep 25, 2023
91
85
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
 
Baki na kipilipili chako unless unataka matatizo yakukuweka bize
 
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
Nakuelewa my dear, tumeaminishwa kuwa kipilipili ni nywele 'mbaya' zisiponyooka. Lakini, ndivyo tulivyoumbwa, na Mungu hakukosea.

Tumia leave-in conditioner ya aina yoyote kila siku unapotengeneza nywele zako. Nina mifano nichache
Aunt jackie's flaxseed series
Natural desire curling cream with flaxseed (local brand)
Mega growth

Natumaini nikipata nguvu nitaanzisha uzi wa namna ya kuzipenda na kukuza upya kipilipili. Mimi ni 'naturalista' miaka 8 sasa, bila dawa wala ku blow-dry nywele. Kipilipili kimekubali sasa nauthubutu kusema ni waist length, proudly natural
 
Sema kuna wanawake wasio suka wakijuaga kuviachia vipipili vyao wanavutiaga sana 😅
 
Back
Top Bottom