Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,824
- 2,485
Rank | Country | % of Women in Parliament | Global rank |
---|---|---|---|
1 | Rwanda | 61.3% | 1st |
2 | Senegal | 46.1% | 11th |
3 | South Africa | 45.8% | 14th |
4 | Namibia | 44.2% | 19th |
5 | Mozambique | 43.2% | 20th |
6 | Ethiopia | 41.3% | 25th |
7 | Cabo Verde | 38.9% | 30th |
8 | Angola | 38.6% | 32nd |
9 | Burundi | 38.2% | 36th |
10 | United Republic of Tanzania | 37.4% | 41st |
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===