David Kafulila: Kwa style ya Rais Magufuli atamaliza miaka 5 na watu aliowatumbua tu

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Katika kipindi cha mada moto kinachorushwa na channel ten, David kafulila alisema hivi " kwa style anayoenda nayo Rais Magufuli atajikuta amemaliza miaka mitano (5) bila kubadilisha maisha ya watu wa chini na kubaki na majina ya watu aliowatumbua tu".

Binafsi, david kafulila ni mtu makini na hodari;

 
Nacheka sana kila nikifikiria ule moto alioanza nao, kila siku ni habari mpya. Sasa hivi ni mwaka mmoja tu lakini nchi imechoka kama tumetoka kupata Uhuru jana.

Hivi huyu ndio angechukua nchi enzi ya Nyerere si tungekuwa hoi zaidi ya Zimbabwe?
 
Kweli akili ni nywele. Kila mtu ana zake. If you can't fight them join them. Zitto Kabwe is the only person if not in the whole country who advocates the essence of real politics. Physical battles no longer lives
Ni kweli akili ni nywele ndo maana while wewe unaamini real politician in a country of 50 million plus people, others don't believe that...
 
Nacheka sana kila nikifikiria ule moto alioanza nao, kila siku ni habari mpya.
Sasa hivi ni mwaka mmoja tu lakini nchi imechoka kama tumetoka kupata Uhuru jana.

Hivi huyu ndio angechukua nchi enzi ya Nyerere si tungekuwa hoi zaidi ya Zimbabwe?
Yaani Mungu mtu alichobakiza ni kwenda kutoa salaam makanisani tu.
 
Ameweka hoja ajibiwe kwa hoja. Usiwe mshamba Kuna haja gani kuattack personality yake?
Wapinzani wa kitanzania ni wanafiki au pengne wanatumia wanatake advantage ya unyumbu wa watu kama ww kujipatia umaarufu..huyu kafulila alikuwa mpiga kelele sana bungeni juu ya watendaji wala rushwa na wazembe bungeni..nakumbuka furaha yake ilikuwa ni kuwaona watu kama wakina werema wanafukuzwa ktk post zao lkn Leo hii anamkosoa magufuli kwa kufanya kitu the same alivyokuwa anataka yy..sasa kama siyo unafiki huo ni nn????
 
Kweli akili ni nywele. Kila mtu ana zake. If you can't fight them join them. Zitto Kabwe is the only person if not in the whole country who advocates the essence of real politics. Physical battles no longer lives
Eleza na wewe kile alichofanya kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…