Mpendwa mteja,
Tunapoelekea msimu huu sikukuu usikubali kukosa mawasiliano na hata kukosa picha za ukumbusho wako na ndugu jamaa na marafiki eti kisa tu tu simu yako imeharibika kioo, ilitumbukia kwenye maji, ilizima ghafla, camera haifanyi kazi na umeambiwa haitengenezeki?
Ondoa wasiwasi, Davao Service Center tupo kwa ajili yako siku ya leo kukutatulia kila tatizo unalokumbana nalo kwenyte simu yako.
Fika leo Kariakoo, Mtaa wa Uhuru, Jengo la Uhuru Plaza ghorofa ya 3 ukutane na mafundi wetu waliobobea katika uchunguzi na matengezo ya simu ya aina zote.
Wasiliana nasi
0781 307 779