Davao service center: Mafundi wako wa simu wa kuaminika

Davao255

New Member
Mar 25, 2025
3
1
Habari.

Davao Service Center tunatengeneza simu za aina zote pamoja na kufunga spea mpya za simu.

Tumebobea kwenye matengenezo ya :

  • Kubadili Vioo Vya Simu.
  • Kubadili Camera.
  • Kubadili Betri.
  • Simu Iliyozima Ghafla.
  • Simu Iliyoingia Maji.
  • Mfumo wa Chaji.
  • Mfumo Wa Simu Kugandaganda.
  • Tunarepair mfumo wa usalama wa simu(Security Update).
  • Na mengine mengi!!

Usikae na simu ndani ukiwa na wasiwasi wa wapi sehemu ya uhakika na usalama pa kupeleka simu yako. Tutembelee leo DAVAO SERVICE CENTER tukatengenezee simu yako irudi kama ilivyokuwa mwanzo.

Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Uhuru, Jengo la Uhuru Plaza floor no.2.

Wasiliana nasi :

+255 781 307 779.
Smartphone Repair Services Ad Template - Made with PosterMyWall.jpg
 

Attachments

  • Smartphone Repair Services Ad Template - Made with PosterMyWall.jpg
    Smartphone Repair Services Ad Template - Made with PosterMyWall.jpg
    1.3 MB · Views: 1
Mpendwa mteja,
Tunapoelekea msimu huu sikukuu usikubali kukosa mawasiliano na hata kukosa picha za ukumbusho wako na ndugu jamaa na marafiki eti kisa tu tu simu yako imeharibika kioo, ilitumbukia kwenye maji, ilizima ghafla, camera haifanyi kazi na umeambiwa haitengenezeki?
Ondoa wasiwasi, Davao Service Center tupo kwa ajili yako siku ya leo kukutatulia kila tatizo unalokumbana nalo kwenyte simu yako.
Fika leo Kariakoo, Mtaa wa Uhuru, Jengo la Uhuru Plaza ghorofa ya 3 ukutane na mafundi wetu waliobobea katika uchunguzi na matengezo ya simu ya aina zote.
Wasiliana nasi 0781 307 779
 
Muonekano wa Iphone 16 yako umefikia hali hii? Usiwaze, Davao Service Center tutarudisha simu yako iwe na muonekano mpya kama imetoka dukani leo.
Tutembelee sasa Kariakoo, Mtaa wa Uhuru Jengo la Uhuru ghorofa namba 3.
Wasiliana nasi 0781 307 779
GFDGF.PNG
 
Back
Top Bottom