Darubini kubwa zaidi duniani yenye ukubwa sawa na viwanja 30 vya mpira imeanza kufanya kazi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,430
Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwanja vya mpira 30 imemakamilisha kipindi cha majaribio.

Wanasayansi nchini china wametangaza kwamba darubini hiyo imeanza kutumika rasmi.

Ujenzi wa darubini hiyo kubwa iliyopo katika eneo la Guizhou ulichukua miaka 5 na ulikamilika mwaka 2016.

Gharama za ujenzi wa darubini hiyo ni dola za Marekani milioni 180. Darubini hiyo inatambulika kama jicho la China angani.

Darubini hiyo ina uwezo wa kukusanya taarifa zenye ukubwa wa gigabyte 38 ndani ya sekunde 1. Kwa kutafuta haidrojeni asilia na mawimbi ya radio yanayosambazwa na nyota na kutathimini taarifa hizo itasaidia katika kufanya uchunguzi wa anga.

======================
SHANGHAI (Reuters) - China on Saturday officially opened operations of the world’s largest radio telescope, which it will use for space research and help in the hunt for extraterrestrial life, the official Xinhua news agency reported.

The Five-hundred-meter Aperture Spherical Telescope, or FAST, is the size of 30 football fields and has been hewed out of a mountain in the southwestern province of Guizhou. It is also known by the name “Sky Eye” in China.

Xinhua reported that the telescope had received national approval to start operations. It finished construction in 2016 and has been undergoing debugging and tests in the years since.

FAST’s Chief Engineer Jiang Peng told Xinhua that the telescope’s trial operations had so far been reliable and stable, and that its sensitivity was more than 2.5 times that of the world’s second-largest telescope.

The project has also obtained some valuable scientific data over that time and is expected to help lead to some breakthroughs in areas such as low-frequency gravitational wave detection and interstellar molecules in the next three to five years, Xinhua said.

Advancing China’s space program is a priority for Beijing, and the country has set a target to catch up with Russia and the United States and become a major space power by 2030.

Beijing plans to launch construction of its own manned space station next year.

source - reuters

1578922647134.png
 
Na mtu atakayekua anaangalia kwenye hio darubini ana macho mawili madogo kama sisi au?Maana darubini ukubwa wa Viwanja 30 si mchezo kuiangalia.

dodge
 
Si wanatizama kupitia screen?
 
Hebu tuambizane ukweli kwani akiamua kutuchungulia na hiyo daruni tukiwa tunakata gogo mafichoni kabisa kwenye misitu ya Amazoni au autria anaweza kutuona bila shida kama hivyo tuanze kutembea na Rb ya polis kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China anapenda ligi sana na lengo lake hasa ni kuwa namba moja katika kila nyanja.

''Advancing China’s space program is a priority for Beijing, and the country has set a target to catch up with Russia and the United States and become a major space power by 2030.
Beijing plans to launch construction of its own manned space station next year''
 
Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwanja vya mpira 30 imemakamilisha kipindi cha majaribio.

Wanasayansi nchini china wametangaza kwamba darubini hiyo imeanza kutumika rasmi.

Ujenzi wa darubini hiyo kubwa iliyopo katika eneo la Guizhou ulichukua miaka 5 na ulikamilika mwaka 2016.

Gharama za ujenzi wa darubini hiyo ni dola za Marekani milioni 180. Darubini hiyo inatambulika kama jicho la China angani.

Darubini hiyo ina uwezo wa kukusanya taarifa zenye ukubwa wa gigabyte 38 ndani ya sekunde 1. Kwa kutafuta haidrojeni asilia na mawimbi ya radio yanayosambazwa na nyota na kutathimini taarifa hizo itasaidia katika kufanya uchunguzi wa anga.

======================
SHANGHAI (Reuters) - China on Saturday officially opened operations of the world’s largest radio telescope, which it will use for space research and help in the hunt for extraterrestrial life, the official Xinhua news agency reported.

The Five-hundred-meter Aperture Spherical Telescope, or FAST, is the size of 30 football fields and has been hewed out of a mountain in the southwestern province of Guizhou. It is also known by the name “Sky Eye” in China.

Xinhua reported that the telescope had received national approval to start operations. It finished construction in 2016 and has been undergoing debugging and tests in the years since.

FAST’s Chief Engineer Jiang Peng told Xinhua that the telescope’s trial operations had so far been reliable and stable, and that its sensitivity was more than 2.5 times that of the world’s second-largest telescope.

The project has also obtained some valuable scientific data over that time and is expected to help lead to some breakthroughs in areas such as low-frequency gravitational wave detection and interstellar molecules in the next three to five years, Xinhua said.

Advancing China’s space program is a priority for Beijing, and the country has set a target to catch up with Russia and the United States and become a major space power by 2030.

Beijing plans to launch construction of its own manned space station next year.

source - reuters

View attachment 1321915
Frimaso
 
China anapenda ligi sana na lengo lake hasa ni kuwa namba moja katika kila nyanja.

''Advancing China’s space program is a priority for Beijing, and the country has set a target to catch up with Russia and the United States and become a major space power by 2030.
Beijing plans to launch construction of its own manned space station next year''
Bora hawa wanapambana kuwa namba moja kwenye kila nyanja kuliko nchi zinazo pambana kuua upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mission impossible: Fall out
Movies za huyu jamaa zinatumia tech sana. Jamaa anavaa groves anapanda kwenye vyioo vya ghorofa. Nilichoka
Ila movie zake ni nzuri
Hapo akina Tom Cruise wanajipanga kwenda kuigizia muvi dadeki
 
Back
Top Bottom