Nibozali JF-Expert Member Oct 15, 2016 572 1,055 May 6, 2017 #1 Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni
Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni
Bila bila JF-Expert Member Dec 20, 2016 22,045 38,952 May 6, 2017 #2 Acha kumfananisha Darasa na vitu vya ajabu ajabu.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,128 May 6, 2017 #3 Kiboko ya mabishoo ametoa warning kwa wasanii wote watoe single zao harakaharaka muda huu kwasababu akiachia yake itazifuta nyimbo zao zote kwenye masikio ya mashabiki.
Kiboko ya mabishoo ametoa warning kwa wasanii wote watoe single zao harakaharaka muda huu kwasababu akiachia yake itazifuta nyimbo zao zote kwenye masikio ya mashabiki.
wakwetu_tz Senior Member Feb 21, 2017 122 169 May 6, 2017 #4 Nilitaka kusema hujielewi ila nimeheshimu mawazo yako. Darasa mkali asee...
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,611 May 6, 2017 #5 Acha kufananisha HARMO RAPPER na WABAHATISHAJI kwenye game la muziki
Nibozali JF-Expert Member Oct 15, 2016 572 1,055 May 6, 2017 Thread starter #6 Joseverest said: Acha kufananisha HARMO RAPPER na WABAHATISHAJI kwenye game la muziki Click to expand... Hahahahahaha
Joseverest said: Acha kufananisha HARMO RAPPER na WABAHATISHAJI kwenye game la muziki Click to expand... Hahahahahaha
Mapensho star JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,052 4,101 May 6, 2017 #7 Nibozali said: Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni Click to expand... oya mkuu mbona umemsakama darasa Leo Mara kaiba beat huyo dogo mwenyew alichoimba hakieleweki
Nibozali said: Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni Click to expand... oya mkuu mbona umemsakama darasa Leo Mara kaiba beat huyo dogo mwenyew alichoimba hakieleweki
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,183 May 6, 2017 #8 Acha kutafuta umaarufu kupitia Darasa bibie.
M Mtarban JF-Expert Member Jan 14, 2015 3,846 5,057 May 6, 2017 #10 trey007 said: unataka kiki kwa pikipiki Click to expand... teh teh teh