True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote
kuwa review class ya CISA
(Certified Information Systems Auditor) kwa ajili ya kuwapa
ujuzi wanafunzi utaalamu wa jinsi ya kukagua mifumo ya
kielektronic na risk zitokanazo na mifumo hiyo itaanza tarehe 03/07/2017, Dar Es Salaam City Center.
Kozi ni ya week tano (5), kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ,
saa 11:00 Jioni hadi saa 2:00 Usiku. Fee ni Tsh. 700,000/=
ikijumuisha review, materials na database ya maswali na majibu.
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia +255 713451713/0764978313
Email:
mujinja@hotmail.com,
info@trueinkassociates.co.tz
Course Director ::: Sam Mujinja