LGE2024 Dar: Wagombea wa Serikali za Mitaa CHADEMA, Wagoma kuondoka kwa DC Ubungo hadi wajue hatima yao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,859
Wagombe wa Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ubungo wametia kambi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mpaka jioni hii. Hawatatoka hapo mpaka wamejua hatma ya rufaa zao.
IMG-20241115-WA0024.jpg
IMG-20241115-WA0025.jpg
IMG-20241115-WA0026.jpg
 
Sasa DC si mteule wa mwenyekiti wa Chama Tawala?
Yaani wanachama wa chama pinzani wanamsikilizia mteule wa mwenyekiti wa chama tawala atoe hatma yao?
Huu uatani huu.
 
Back
Top Bottom