DAR: Polisi inamshikilia hawara wa mfanyakazi wa ndani akihusishwa na mauaji ya Aneth Msuya

Umeongea kwa weledi sana mkuu. Hongera kwa kuyaona mengi ambayo wengi hawayaoni. Numebarikiwa na post yako hii
Mkuu Tarakilishi nakushukuru na nakuomba uwe mfuasi katika watu wenye huruma na binadamu,japo wewe mmoja tu ukiingia katika kundi la wasamaria wema,ingawa unaweza kuwa na imani na binadamu kunipita mimi,na kama ni hivyo basi endelea na Mungu atakulipa,tenda wema kadiri ya uwezo wako halafu nenda zako,malipo kwa Mungu Mkuu.
 
Binaadamu tumefikia hatua mbaya...
Mungu amrehemu Janneth. Na ana watoto?
Inabidi familia wajiongeze kuna namna.

Na huko mbinguni kutakuwa na kazi, kuchinja mtu
Angalau risasi jamani. Pole kwa wazazi. Ndugu. Jamaa na marafiki.
 
mazingira yanaonyesha huyo ni muhusika soma vizuri hiyo habari,,,everything has its own casualties
 
Mkuu napenda wanadamu wote wenye nacho na wazima tuwahurumie wenzetu wenye maradhi na wasiojiweza kiuchumi. Kila mtu ajipangie asilimia fulani katika pato lake liwe ni kwa ajili ya wahitaji katika masikini na mayatima na wagonjwa. Kwa kufanya hivi tutakuwa tunamtukuza Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, nayo hiyo ni ibada njema.
 
UBARIKIWE MKUU.
 
''...It is possible to provide security against other ills, but as far as death is concerned, we men live in a city without walls...''
 
Mkuu naona umeangalia series na movie nyingi za kipelelezi za kimarekani (FBI +CIA) mpaka kuhisi na wewe ni dectetive, uwezo huo na teknolojia hizo hapa Bongo hakuna.Hapa ni kipondo tu mpaka utaje.
 
Uchambuzi wa magazeti leo, kuna taarifa inasema
Mke wa Marehemu bilionea Erasto amechukuliwa kwa uchunguzi kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha wifi yake.

Inasemekana hata msibani hakuhudhuria huyu mke wa Erasto.
 
Hii habari niliisikia ijumaa ila uhakika ckua nao.....huyu mama kma amehusika ni beef ya mali za marehemu tu hakuna jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…