Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,074
114,584
Uzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.

Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti

Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.

Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.

Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba

Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!

Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?

Jioni Njema wakuu
 
huku mbeya mjini, mbunge wetu hatujui hata kaishia darasa La ngapi! ila namkubali tu hvyohvyo! dunia duara
Thread inahusu wakuu wa mikoa na si wabunge...
Jaribu kuwa muelewa wa mambo, kama unataka kuzungumzia wabunge walioishia la saba anzisha uzi mwingine tutachangia...
 
Kawekeni mabango majiji yote Tanzania na tengenezeni matangazo kwa Tv na Radio stations. Naona hapo mtasikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…