Dar: Moto wateketeza Magari ya Gereji Jangwani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Moto mkubwa umewaka katika Gereji moja Jijini Dar es Salaam karibu na uwanja wa mazoezi wa Timu ya Yanga, huku Gari nyingi zikiwa zimeteketea kwa moto

 
Aaah...usiku hivi..sio hujuma ya viwanja hapo kweli...!!? Duuh, karibu kabisa na club ya Yanga hapo..!! Alafu kuna magari mengi hapo sana.. sasa moto unawaka hivyo, sio bure sio mtu kamwagia mafuta na kuwasha kweli..? maana moto hatari huo..!!
 
Ukitazama waokoaji karibu wote msaada wa kwanza waliotoa hapo ni kupiga picha na video kusambaza kwenye mitandao,
kutoka pale Fire mpaka hapo hata dakika 5 hazifiki na kuna magari zaidi ya matatu muda wote yamepaki,mpaka moto umefika hivyo hapakuwa na askari au woote wamekwenda Dodoma pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…