therealjoh
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 108
- 88
Habari
Kama tunavyojua afya ya jamii ndo msingi wa maendeleo ya taifa,pia ili familia iwe na afya bora ni muhimu familia kupata lishe bora na kamili.
Basi kwa kutambua hilo,tunakuletea bidhaa ya maziwa fresh na mtindi kwa matumizi ya nyumbani ili kuimarisha ukuaji na afya ya familia.Pia unaweza kuyatumia kibiashara.
Karibu ujipatie maziwa fresh na mtindi kwa jumla na rejareja kwa gharama nafuu kabisa.
Lita 1 ((fresh) 18,00
Lita 1 (mgando) 2500 kwa rejareja.
Lita 5 (fresh) 8,500
Lita 5 (mgando) 12,000 kwa jumla.
Maziwa yanapatikana Dar es salaam - Ilala - Kitunda. Mawasiliano 0688 055 606 au PM.
NB. Delivery ipo bure kwa wateja wa jumla kuanzia lita 10,pungufu ya lita hizo mteja atachangia gharama kidogo.
Karibuni sana.