Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,589
55,174
19905046_727918110748335_1860843072704581655_n.jpg
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya

Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.

Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.

Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.

Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...

Stay tuned..

UPDATES:

"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya

"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
---------------

UPDATE: 10, JULAI, 2017

Mbunge Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 na wadhamini wawili. Ushahidi haujakamilika na kesi imeahirishwa hadi August 7, 2017.
 
Mashtakaaaaaa.... Tuyajue

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee CHADEMA leo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam. #
 
Back
Top Bottom