DAR ES SALAAM: Profesa Assad akabidhi ofisi kwa CAG mpya

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,563
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.
 
Usiende ukabadilika kuwa mhimili mwingine nitakutoa hata kama umemaliza mwaka mmoja tu, maneno ya hovyo sana haya
 


ALIYEKUWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), January Makamba amemkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa Wizara hiyo Simbachewene. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Julai 24, 2019, jijini Dar es salaam
- - - -



Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwna ofisi a Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.
= = = =

Tunalazimishwa kuamini kuwa hii ni 'dress code' ya kukabidhi ofisi ama ni kitu gani kinaendelea...!?
 
JF wangeweza ku-vet michango kabla ya kuwa posted, Jukwaa lingependeza. Mtu akipost pumba, mnawekea kapuni
 
kwani yeye anashida gani hela zinazopigwa si ni kodi zenu,,
 
JF wangeweza ku-vet michango kabla ya kuwa posted, Jukwaa lingependeza. Mtu akipost pumba, mnawekea kapuni
Ingekuwa haina maana,kwasababu ingeminya uhuru wa kujieleza,kila mtu ana haki ya kutoa maoni anavyojisikia,usilazimize kufanana,tayari kuna sheria na taratibu za jf na zinafuatwa.
 
Mkuu hii ndio ikupe picha ni watu gani wanatumbuliwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…