Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,100
- 2,631
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa ujumla, CCM imeshinda na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa katika Jimbo la Segerea.
Video hii ni wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa