Watoto wa kike wa kikenya "wanabambika" sana na lafudhi ya kiswahili chetu.Napenda sana utani wa Tanzania na Kenya..yaani ni sawa na wa kimataifa na wamatopeni.
Utani hujenga..tusibaguane, tupendane kama mashabiki wa yanga na simba. WaKENYA NI WADOGO ZETU NA SISI NDO BABA ZAO. NA MARA NYINGI MTOTO HUPENDA KUONEKANA KAKUA KWA BABA. Ntakuja tena Tigoni - limuru Kenya. nilipata demu mkali wa Kikenya yaani ukiwa nairobi, kisumu popote Kenya ukisema unatoka tanzania utasikia huyu ni MTZ...lazima upate mtoto wa kulala naye..wakenya mademu zao wanawapenda sana Watz..
Watoto wa Kike wanapenda sana starehe na wabongo tulio wengi tukiwa sehemu za starehe tunajiachia sana tofauti na wanaume wa Kenya mabahiri sana. Nilikutana na Mafala flani wa kikenya tukiwa Durban SA kwenye training, Basi jioni wakati wa mapumziko nilijisahau tukiwa Bar kibongo bongo nikapiga round ya kwanza ya vinywaji, vilipoisha nikadhani kuna mtu naye ataagiza nikaona yameanza yanaagiza bia zao kila mtu bia yake akiwa na kanoti kake mkononi kanakotosha bia yake.Napenda sana utani wa Tanzania na Kenya..yaani ni sawa na wa kimataifa na wamatopeni.