Damu kuchelewa kuganda au kukata

Pelly

Senior Member
Mar 26, 2013
174
184
Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
 
Ana kiwango kidogo cha platelate Cells kwenye dam ( thrombocytopenia) tiba atumie corticosteroids medicines au afanyiwe platelates infusion. Though matibabu yatategmea na chanzo na severeness.
 
Ngoja madaktari waje, upungufubwa vitamin k, ama huenda ana hemophilia vinachangia
 
Na ipi sababu inayosababisha damu kuganda haraka baada ya kupata jeraha yani mimi nikijikata ni ndani ya sekunde 20 donda limejifunga na damu imeganda nakwangua
 
Je natumia dawa za kuyeyusha damu...blood thinning medication? mojawapo ni Aspirin hii ya kawaida sio nzuri sana kwa matumizi ya homa
Au anaweza kuwa na upungufu wa seli nyeupe au white blood cells(macrophages) ambazo kazi yake ni kutengeneza utando wa kuzuia damu kuendelea kutoka....
cc DR Mambo Jambo
 
Back
Top Bottom