Tatizo wanawake mmekuwa wengi sana sasa mim nina mademu sita na wote nataka kuongea nao usiku lazima nikuambie nataka kulala kumbe naanza kuongea na rebeka nikimaliza rebeka naye namdanganya nataka kulala kumbe naanza kuongea na ashura hivyo hivyo ndiyo maisha yanaendaDALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:
1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.
Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
Ukijakata kimya kimya utaenda kwa nani ambaye anakula mbogaa moja kilmila siku hutaki kukata tamaa Bali unatakiwa uongezee mautundu na juhudi ili uwafunike wengineUkiona dalili hizo unajikataa kimya kimya
umeandika kwa uchunguDALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:
1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.
Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
Hatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewisometimes nafanya vyote hivyo nikiwa kwenye bad mood..Haimaanishi kuwa simpendi mama watt
Hatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewi
Ingekuwa huo unaouita utundu ndio sababu ya kuwatuliza kusingekua na vilio vya mapenziUkijakata kimya kimya utaenda kwa nani ambaye anakula mbogaa moja kilmila siku hutaki kukata tamaa Bali unatakiwa uongezee mautundu na juhudi ili uwafunike wengine
Hahaha yani mtu akikuchoka bana, visababu visivyo na kichwa wala miguu. Ni kujiongeza tu kwa kweliTangu january mpaka june yuko na baddays wa kazi gani sasa
Sikuignore totally Douta..Nikiwa off mood nakuwa mzito kuinitiate maongezi..Ukinitumia msg au kupiga simu ntakujibu ila ntatafuta njia ya kufupisha maongezi ambayo haitakufanya ujisikie vibayaHatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewi