Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 790
- 1,364
Wakuu habari za humu!
Naomba niende kwenye mada- ni wiki ya pili sasa Toka nianze kuona dalili ambazo kiukweli zinanipa wasiwasi na leo nimeona jiingie humu jukwaani kupata ushauri wa kitalamu au kimawazo kutoka kwa wataalamu wa humu ndani.
Hapo kati nilipata homa Kali sana japo haikunilaza kitandani kwani Mimi nakuaga mbishi sana kulazwa na homa, lkn kiukweli homa hiyo ilinipiga haswa wakati napambana na homa nilianza kuhisi maumivu makali sana ktk mguu wangu wa kushoto chini ya unyayo kabisa. Maumivu hayo mithili nimekanyaga Kaa la moto.
Maumivu hayo yalidumu kama siku nne then yakapotea nadhani baada ya kupata unafuu wa homa iliyokua imenikamata. Sasa basi kwa kipindi chote nilichokua naumwa hiyo homa sikuweza kushiriki tendo la ndoa na wife.
Sasa kilichonifanya nije kuomba ushauri ni baada ya kuona dalili ya tofauti kbs ninaposhiriki tendo la ndoa, namwaga wazungu ndani ya mda mfupi sanaaaa tofauti na zamani, nashindwa kurudia tendo, now day imefikia hatua rungu linasimama vzr lkn kitendo Cha kuchomeka tu mzigo unaishiwa nguvu, hisia zangu zimekua za kuhangaika sana.
Hali hii kiukweli inanifanya nijihisi mnyonge sana but shemeji yenu ananipa moyo kwamba nitakaa sawa lkn kama mjuavyo ujanja wote wa mwanaume hi hapo(heshima ya ndoa😅)
Sasa umekatika mwezi Toka nione hizo dalili na sijaona mabadiliko ya kurejea ktk Hali yangu ya kawaida.
Kitu kingine ambacho nimekuwa nikiki note kwa kipindi chote hicho ni kupata pia maumivu upande wa kushoto wa kifua hasa nikiinama, maumivu nayopata ni kama nimechuliwa na dawa ya volin, maumivu hayo some time yanasambaa mpaka katikati ya kifua (kwenye mstari) yanashuka chini kwenye (kimeme) sijui ndio chemba moyo? Watalamu watanisaidia hiyo sehemu inaitwaje.
Sasa wakuu Niko njia panda je hiyo ni shida Gani? Je pengine nanyemelewa na ugonjwa Gani? Je performance kwenye tendo la ndoa kushuka inasababishwa na nini?
Nisiwachoshe plz msaada.
Kuhusu umri Mimi ni kijana tu nipo kati ya 25-31