Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,731
- 3,628
Habari wakuu,
Sumu mwilini hujumuisha vitu vyote vinavyodhuru au kudhoofisha utendaji wa mwili na huingia kwa kuvuta kwa hewa,chakula au mabaki mbalimbali ya mifumo ya mwilini na ili uendelee kuwa na afya lazima ziondolewe.
Mwili una njia asili za kuondoa sumu kama kutoa jasho,haja ndogo na kubwa na upumuaji lakini sumu zikizidi njia hizi huelemewa na mwili huonesha dalili hizi;
1. MAUMIVU SUGU YA KICHWA
Mara nyingi maumivu yasiyokoma ya kichwa ni kiashiria kuwa mwili umeelemewa sumu hasa mlundikano wa taka na vimiminika sumu ktk mfumo wa kati wa neva.
2. ULIMI KUWA WA NJANO AU MWEUPE
Rangi hizi ktk ulimi huashiria hali fulani mwilini na mara nyingi huonesha kiwango cha juu cha sumu mwilini hasa mabaki sumu ya chakula na utekamasi unaohusika na chakula hivyo huashiria kuwa mwili unapambana kuziondoa.
3. JASHO
Ni njia asili ya kutoa sumu mwilini na ukihisi joto la mwili linapanda sana na unatoa jasho jingi ujue kuna sumu nyingi mwilini.
4. KUKOSA USINGIZI(Insomnia)
Mlundikano wa sumu mwilini hasa mabaki ya estrogen hufanya mtu kupata shida kupata usingizi na ni dalili kuwa INI lako linahitaji kusafishwa.
5. MATATIZO YA NGOZI
Kama mfumo wa mwili utaelemewa na sumu basi ngozi itafanya kazi ya ziada kuziondoa hivyo waweza kuhisi hali mbalimbali ktk ngozi yako(skin conditions&rushes)
6.MWILI GOIGOI(Lethargy)
Mlundikano wa sumu mwilini hudhoofisha mfumo wa utendakazi wa mwilini na kufanya mwili kukosa nguvu/kuchoka mara kwa mara.
7. KUKUA KWA TUMBO LA CHINI(Belly)
Sumu hukusanyika ktk tumbo la chini na kufanya linenepe na njia pekee ya kuliondoa ni kusafisha sumu tu.
Chanzo: Healthfoodstar.com
NJIA ZA KUONDOA SUMU MWILINI
A. JUICE YA LIMAO
Kila siku asubuhi kamulia limao moja katika glasi moja ya MAJI VUGUVUGU,kunywa. Wataalamu wanasema kufanya hivyo ni sawa na kuoga ndani ya mwili!(taking shower in the inside)
B. UNGA WA MLONGE
Weka unga wa mlonge kijiko cha chai katika uji wa moto angalau mara moja kwa siku. Utaondoa sumu haraka sana.
C. KUNYWENI MAJI YAKUTOSHA JAMANI!!