Daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji akamatwa akielekea kazini, Polisi wamuhusisha na maandamano

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,717
8,995
Dr.Lilian Mtei (mke wa Freeman Mbowe) ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji katika hospitali ya taifa Muhimbili, amekamatwa akielekea kazini asubuhi ya leo. Dr.Lilian ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya kitaifa ya kupambana na kifua kikuu (National TPT Expert Committee), na Mkurugenzi wa tiba wa katika utafiti wa chanjo ya kifua kikuu (Director for vaccine clinical trial) ametoka nyumbani kwake, Mikocheni kuelekea Muhimbili, lakini ghafla akazuiwa na gari za polisi zilizokatisha barabara na kumkamata.

Licha ya kuwaambia kuwa yeye si Mwanasiasa na anaelekea kituo chake cha kazi (hospitali ya taifa ya Muhimbili), bado polisi hawakumuelewa. Badala yake wamemshusha kwenye gari lake na kumpandisha kwenye gari za polisi na kwenda nae kituoni.

#MyTake:
Polisi punguzeni mihemko. Hiki mnachofanya ni kuchochea chuki bila sababu. Kama shida yenu ni watu walioandamana au wanaochochea maandamano, kwanini mkamate wasiohusika? Huyu mama kuwa mke wa Mbowe sio justification ya kumkamata.

Kwanza she is a very humble woman na hana interest na mambo ya siasa. And she live a low profile life. Ndio maana hamjawahi kumuona majukwaani. Yeye amededicate maisha yake kusaidia watanzania kupitia tiba. Ni daktari bingwa ambaye amefanya tafiti nyingi na kuokoa maisha ya wengi. Leo alikua anaelekea kazini kuokoa maisha ya watanzania wenzetu, nyie mnamkamata. Hivi mna akili kweli?

Jaribu kufikiria kwamba mwanao amelazwa Muhimbili, anatakiwa kufanyiwa upasuaji, na katika jopo la madaktari watakaohusika ni pamoja na Dr.Lilian. Halafu unaambiwa procedure haitafanyika kwa sababu amekamatwa na Polisi. Utajisikiaje? Nakuuliza we Muliro.

Halafu eti amekamatwa kwa sababu ya maandamano. Lakini huyu mama hajaenda eneo la maandamano, wala hajashika bango, wala hajatoa kauli yoyote ya kuchochea maandamano. Yeye ametoka zake tu nyumbani anaelekea kazini kwake kuokoa maisha ya watanzania, ghafla anakamatwa. Matumizi mabaya ya nguvu.

Tafadhali Polisi muachieni Dr.Lilian haraka. Mnaumiza watu wasiohusika. Mnatesa wagonjwa waliokua wahudumiwe nae. Ikitokea leo mgonjwa aliyetakiwa kupatiwa matibabu na Dr.Lilian akafariki mtajisikiaje? Tumieni akili.!
 
Weeeweeee! Hujui kuwa maandamano is sexually transmitted?
 
Madakatari wako wengi ,usitutishe.
 
Polisi wa Tanzania kwa sasa wamepewa hatimiliki ya mitandao yote ya mawasiliano nchi nzima hivyo, huwezi kufahamu kwanini amekamatwa.

Kwanini hakujidamka mapema asubuhi na akapita njia ingine kuelekea kazini Muhimbili?

Huo ni mtazamo wangu.
 
Safi sana, wanazidi kuipaka mavi Serikali dhalim ya Dikteta mwanamke
 
Polisi wa Tanzania kwa sasa wamepewa hatimiliki ya mitandao yote ya mawasiliano nchi nzima hivyo, huwezi kufahamu kwanini amekamatwa.

Kwanini hakujidamka mapema asubuhi na akapita njia ingine kuelekea kazini Muhimbili?
Hawa polisi ambao karibia wote wana IQ below average, halafu useme eti wana taarifa za mitandao yote!! Hiyo kazi ya upolisi kwa Tanzania, aliwahi kusema Waziri wa Mambo ya ndani, Simbachawene, kuwa ni maalum kwaajili ya watu wasio na akili.
 
Back
Top Bottom