Awali ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya 2017 kwa wale watakaopata neema hiyo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni aghalabu sana kusikia kesho katika vyombo vya habari kwamba katika mkesha wa mwaka mpya watu kadhaa wamepoteza maisha yao ila utasikia katika mkesha wa mwaka mpya watoto kadhaa wamezaliwa
Embu litimizeni neno Bwana alitoa na Bwana ametwaa ila binadamu tunaangalia tu Bwana anapotoa akitwaa ahaa
Nawatakia ushindi wale wote wanaopambana katika kutetea uhai wao Mungu atuonyesha Miaka mingine mingi zaidi
LIFE GOES ON