Mtumishitu
Member
- May 2, 2022
- 69
- 68
Wanajamii habari zenu ;;??
Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine.
Yoyote kwa yote dagaa ni biashara inayo zidi kushika kasi ndani ya Tanzania na inje pia ya Tanzania kama CONGO ,RWANDA ,BURUNDI ,kinala mkuu wa dagaa inje akiwa ni MCONGO hapepesi bei akifika ziwani na kubeba kuwapelekea wacongo wenzao ili wajipatie Mboga ya ZIWA VICTORIA yaani Tanzania yaani kwa hali hii wacongo watazidi kuwa ndugu kwa kila namna maana kwa upande wa uchumi wanachukua mizigo mingi sana yaani ukija huku ziwani ndio utajuwa nachokwambia .
RWANDA kwa rwanda nao hawajabaki nyuma wanakimbia kwa kasi sana kuchukua mzigo huku ziwa victoria lakini wao ni wapenzi wa FURU sana mnyarwanda akifika ziwani hana utani na FURU wanabeba mpaka mnasema YES.lakini mkongo hachagui DAGAA,SAMAKI NA FURU yeye pakia zote kwenye semi safari ,Muda huo wabongo wanachekelea maokoto mfukoni maana wenye soko wamefika.
BURUNDI nao sio wazembe wale watu ni wamoja mno ukizingatia kwenye kubebana pale mzigo unapo pelea yaani usipo jaa gari wapenzi wakubwa wa FURU ,wakija nao soko huchangamka kwa speed kali na wabongo kuchekelea kila kona.
HAO NI VINARA WA ZAO LA ZIWA VICTORIA AFRICA MASHARIKI.
Kwa waTanzania wengi wanapeleka mikoani humu humu na kupika pesa .
Maana kila kona ya Tanzania dagaa inafahamika na kulika na bei iko poa.
Kama vipi uliza bei ya dagaa kilo hapo mtaani bei gani na kilo ya nyama bei gani ??
Nadhani ushajuwa ndio hivyo dagaa saizi sio chakula cha masikini kama mwanzo ivyo kuwa inasemekana bali ni chakula cha WASOMI na watu ambao sio wasomi ila wana uelewa wa AFYA.
Kama hujaelewa nenda Google kaangalie umuhimu wa Dagaa kiafya ndio utajuwa kwa nini imepanda bei kuliko nyama na haifugwi kama NG'OMBE?
ACHANA NA HIO STORY HAPO
Kama wewe ni muuza dagaa piga simu uchangie ofsi yako nipo kanda ya ziwa yaani mwanza mwaloni soko la kimataifa la samaki na dagaa.
Jiunge group la whattsapp andika neno andika neno dagaa 0657886964.
Piga simu 0657886964.
STORY NI NYINGI TUTAKUWA TUNALETA KUTOKANA NA MUDA UKIRUHUSU.