Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

akatiwanya

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
503
687
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
 
Enh
 
Usiku wanaogopa nini?,wachawi au?, Mume upo ndani inuka mpeleke mkeo chooni. Mnalala na mikojo mpaka kopo linageuka rangi aisee.
Raha ya chumba kiwe na Choo ndani self contained Choo cha sink sio shimo, Choo cha nje msala ila uswahili na maisha ya chini ndio lifestyle yao Choo nje, Choo cha ndani kiwe cha kuflash halafu mchawi awe maji jiandae kulipa bills maji baada umwagilie maua unaishia kumwagilia Choo makimba yaende bila hivyo chumba kizima kitanuka mavi
 
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Watu wabadilike self-contained room ndo habari ya mjini.
 
Ongezea wachimbe na visima vya maji ili maji yawe ya uhakika kinyume na hapo watakimbia chumba au nyumba maana hata mgeni akija anasikia harufu ya mvurugano wa mkojo na mavi kutoka chooni bila kusahau dawa ya kusafisha choo na kukata shombo la mavi na mikojo maana kuna dawa zikimwagwa chooni choo hakinuki unatamani ulale huko huko ila km choo hakipigwi dawa utaelewa show kunanuka mpaka mtaanza kuugua homa zisizoeleweka
 
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Hayo ndio maisha hali si ya mtanzania.
 
Tumeskia kaka, eh wanaume siku hizi mmekuwa na midomo!!
Yatawashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom