Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Huu mziki acha tu wadada wanavua kabsa na nguo si mchezoHuo mziki sijawahi kuuelewa
Huwa unaniumiza kichwa
Inafaa ufungiwe maana huku uswahilini ni ngono tu znatembea ikpigwaSIJAWAHI KUUELEWA HUU MUZIKI,DAIMA NAUONA WA KIHUNI
Mdada anajigawa kwa watu 10 hapo sio mchezo na kla boy anataka kubambia ettiih kaahHadi naona aibu Mimi.
Kiruuuu .
Kuna MTU aliwahi kunambia kuwa huu mziki unamaana ya usodoma na ugomoraHuu mziki acha tu wadada wanavua kabsa na nguo si mchezo
Yaani hadi aibu .Mdada anajigawa kwa watu 10 hapo sio mchezo na kla boy anataka kubambia ettiih kaah
Nazani ni zaidi ya sogomaKuna MTU aliwahi kunambia kuwa huu mziki unamaana ya usodoma na ugomora
Basi haukuhusuHuo mziki sijawahi kuuelewa
Huwa unaniumiza kichwa
Hii ktu acha kabsaHapana chezea singeli yaani ni mbadala wa kangamoja laki si pesa
Duh hiyo misamiati mkuuMademu wa uswazi bana sasa hapo kitumbua si kitakua kimevunda ole wako ukifungue
Muziki ni UHUNIHadi naona aibu Mimi.
Kiruuuu .