Cyprian Musiba aendelea kuwawashia moto CCM.

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
16,341
22,279
Cyprian Musiba akipata kuwa mshirika mkubwa wa propaganda za Magufuli akimiliki vyombo vya habari kama vile magazeti vilivyokuwa vikimpigia debe Magufuli.

Leo Musiba amegeuka kuwa mwiba kwa serkali ya CCM. Asema CCM wanategemea wasanii lakini hata hivyo watu wanawapuuzia na kufuatilia mambo ya CHADEMA hata kama hawatumii wasanii. Gari bovu. Kuna siku linawaka.
 
Attachments

  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB
Ni kukofa fursa na pesa za dezo.
Si kwamba haipendi CCM.
Kaona fursa zimempita.
Kwani serikali ya Magufuli ilikuwa na nini cha maana mpaka akawa mpiga filimbi?
 
Cyprian Musiba akipata kuwa mshirika mkubwa wa propaganda za Magufuli akimiliki vyombo vya habari kama vile magazeti vilivyokuwa vikimpigia debe Magufuli.

Leo Musiba amegeuka kuwa mwiba kwa serkali ya CCM. Asema CCM wanategemea wasanii lakini hata hivyo watu wanawapuuzia na kufuatilia mambo ya CHADEMA hata kama hawatumii wasanii. Gari bovu. Kuna siku linawaka.
Timu Mwendazake hao wanaojaribu kuleta uharibifu baada ya kupigwa tiktaka Kali kule Dom.
 
Back
Top Bottom