CUF kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la polisi

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Akizungumza atika ripoti ya uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya dola dhidi ya upinzani 2015/2016 naibu katibu mkuu CUF Nassoro Mazrui amesema chama hicho baada ya kuzindua ripoti hiyo kimepanga kuchukua hatua tano ikiwepo ni pamaoja na kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya waziri wa mambo ya ndani pamoja na mkuu wa jeshi la polisi kwa ukiukwaji wa haki za binadamu
 
go CUF go lakini mnajisumbua bure
mahakama ni yetu
majaji ni wetu
sasa mtapitaje?
nawashauri mkaombe uraia kwingine hapa hamnachenu
 
Kesi ya ICC ikianza tu CCM itamuhonga Mkuu wa mashtaka wa ICC vinoo vya dhahabu ili aicheleweshe .CCM kwa zengwe bwana
 
Kesi ya ICC ikianza tu CCM itamuhonga Mkuu wa mashtaka wa ICC vinoo vya dhahabu ili aicheleweshe .CCM kwa zengwe bwana


sasa unadhani cc tuna mchezo?
naona CUF wanazidi kujichimbia kaburi
watulie wazubili 2020 lakini hata wakipata 94% ya kura zote,ikulu hawalambi ng'oo
ccm tuna hata miliki ya milele
 
sasa unadhani cc tuna mchezo?
naona CUF wanazidi kujichimbia kaburi
watulie wazubili 2020 lakini hata wakipata 94% ya kura zote,ikulu hawalambi ng'oo
ccm tuna hata miliki ya milele
CCM ya Zanzibar wamepewa kule kutokana na nguvu ya ccm huku bara, nguvu ya bara ikipunguzwa na upinzani basi hata Zanzibar cuf watachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…