Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,467
Na hawawezi kukupa mpaka utoa pesa kwa hawa cyber criminals.
Jana imekuja message ya ku Update Java run time na hapo ndo nilikamatika mpaka sasa natafuta mbinu ya kuovercome hili tatizo. Jamaa walivyo makini hii malware haichi copy ya private key kwenye App data ya pc yako hata kidogo, Halafu wanafuta zile shadow volumes za kufanya restore. Cha ajabu Safe Mode nayo inagoma yani inastuck.
Message ya ya ku decrypt iko hivi, kwa ambaye amepata solution au amekumbwa na hili jambo na aka resccue files zake naomba aje na solution. Pia na mimi nitarejea na solution nikifanikiwa sababu ku format pc kwangu huwa ni jambo la mwisho kabisa kufikiria na nina miaka mingi sana nasikia kuformat.
Halafu wanatumia Tor browser ili kuficha identity yao.
View attachment 15
Baada ya ku login unakutana na kitu kama hii.

Hii Hatari aisee