mkandya27 Senior Member Oct 26, 2015 153 30 Mar 26, 2016 #1 Wadau hapa tokea juzi nangojea mshahara hauingii tu lkn matawi mengine ya CRDB tofauti na sengerema wao wamepata salary zao lkn kwetu mpaka sasa nikitendawili ushauri jamani je naruhusiwa kuhama A/C
Wadau hapa tokea juzi nangojea mshahara hauingii tu lkn matawi mengine ya CRDB tofauti na sengerema wao wamepata salary zao lkn kwetu mpaka sasa nikitendawili ushauri jamani je naruhusiwa kuhama A/C
B bahati22 Member Nov 14, 2015 15 0 Mar 26, 2016 #2 Inawezekana kwan wew upon sector binafsi au serikal
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,528 15,157 Mar 26, 2016 #3 Una uhakika mwajiri wako kishapeleka huo mshahara?
mkandya27 Senior Member Oct 26, 2015 153 30 Mar 26, 2016 Thread starter #4 Ac yangu haisomi uhakika ninao@zamau