Kwani tatizo ni nini hasa...be clear mzee
Kuna maboresho walikuwa wanafanya kwenye huduma yao ya simbaking sio kwamba wamechukua pesaHii Benki itazamwe kwa jicho la ziada na serikali maana kuna uhuni mwingi unafanyika na kukwaza wateja.
Unakuwa na kias kikubwa benki lkn ukiangalia salio unakuta hakuna pesa ukifanya hivyo baadae unakuta pesa IMO wakati mwingine ukitaka kutumia huduma ya simbanking unaambiwa huna salio hata kama statement yako kuna ela za kutosha badiliken msipofanya hivyo kiama kinakuja.