MICHAEL BENJAMIN
Member
- Sep 24, 2024
- 11
- 13
Ipi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza
Zinatolewa vyuo gani? Toa details za kutoshaIpi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza
Kinatolewa chuo cha udomZinatolewa vyuo gani? Toa details za kutosha
Opt Information TechnologyKinatolewa chuo cha udom
IT unyama ila kama ungepiga computer science ni unyama zaidiIpi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza