bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,326
2,451
Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za kuvunjika ni kama ifwatavyo.

Vannesaa na Rotim
download (2) (1).jpeg

Hii couplee ipo sawaa kwa muonekano wa njee, but inananipa all the red light kwamba itavunjika mda wowote. Sababu zinazonipelekea mimi kusema hivyo ni kutokana na Vannesa kusacrifice sehemu kubwa sana kwenye haya mahusiano, kasacrifice carea yake. Hali hii inapelekea vanesaa kuwa in a very vurnerable position kwamba kosa lolote la kimahisiano atakalofanya Rotim no matter how small Litakuwa a very big issue. Pia kwa kujazia wanawake wote dunia nzima wanapata tabu sana kwenye kubalance carea na family care kwa sababu they are primary caregiver. Let pray for vannesa maana break up will very much confuse her, her already confused mind. Mbaya zaidi wapo USA ambapo for Rotim is very hard to keep it real all the time.


DeeMondI na zOOchu
images (2) (1).jpeg


General rule of thumb, office relation ship are ill advised. Boss and coworker kuwa wapenzi ni mchanganyiko ambao mda wowote utalipukaa. Dimond mapenzi yashampiga chenga hawezi kutambua what real and what is fake. Kwa upande wa Zuchu anafikiri anaweza kumchange dimond. Dynamic wanayopitia it very funny to observe. I think zuchu yuko confused anashindwa kujua kwenye carea yake kama ni nguvu zake binafsi au pia nguvu za diamondi. Anapochanganya zaidi iliyompa carea ni lebo na sio diamondi sasaa. Asubiri aone, nini kitatokea watakapo farakana. She in vuneeable position, labda kama amekuwa zombie. Hii relation haina afya kwa sababu mmoja anafwata mwenzie kama tela.
 
Back
Top Bottom