Cosmas Chidumule - Libarikiwe Neno Hili

Cecil J

JF-Expert Member
Oct 12, 2023
434
1,015
Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili"

1000000152.jpg

Muimbaji Cosmas Chidumule

Bonyeza hapo chini uushushe kwenye kifaa chako (📀📲🎶).
 
Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili"

View attachment 3184509

Muimbaji Cosmas Chidumule

Bonyeza hapo chini uushushe kwenye kifaa chako (📀📲🎶).
Jamani ubarikiwe Sana mkuu naupenda sana huu wimbo,na nilikuwa nautafuta mno🙏
 
prodyuza ni nani mkuu?
Kiukweli sifahamu mtayarishaji wa huu wimbo ni nani, ni wimbo wa zamani kidogo. Ukisikiliza ubora wa vocals utafahamu huu wimbo una miaka kadhaa na ulirekodiwa kipindi ambacho hakukuwa na vifaa bora vya uandaaji wa mziki.
 
Hii ni clip fupi inayomuonesha muimbaji wa nyimbo za Injili Mchungaji Cosmas Chidumule akiimba wimbo wake maarufu unaofahamika kwa jina la Furaha Yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom