Copy iphone 14 pro max ninayo

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Jan 29, 2018
1,296
1,008
Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
 
Hizo ni android based phones wanaweka skin ya iphone. Usitegemee ifanye kazi kama iphone hata siku moja.
 
Back
Top Bottom