“Project Blue Beam is a conspiracy theory that claims that NASA is attempting to implement a New Age religion with the Antichrist at its head and start a New World Order, via a technologically-simulated Second Coming.”
mpango huo unaendana na mkakati wa muda mrefu wa kuwaaminisha wanadamu kua kuna UFOs(viumbe wanaoishi sayari za mbali)
1: mpango wa kuonyesha picha kubwa angani kwa tcknolojia ya 3D na sauti kubwa ili kuuaminisha ulimwengu kua yesu amerudi kwa mara ya pili ulimwenguni. ikiendana na kuvunja sehemu zote za kihistoria za kidini ulimwenguni kupitia matetemeko ya ardhi
2: kutumia technolojia ya telepath kuwasiliana na watu ulimwenguni ili kuwaaminisha kuhusu dini mpya ulimwenguni na kuwafanya watu waamini kua mungu anawasikiliza.
3:kutengenza machafuko ulimwenguni, kuaminisha kua viumbe(Allien) wamekuja ulimwenguni, kuwaaminisha wakristo kua viumbe wema wamekuja kuukomboa ulimwengu kutoka kwa mashambulizi ya shetani.
4: kutumia mifumo ya kielectronic kumanipulate wanadamu na kuwaathiri kisaikolojiwa wanadamu. ili kuruhusu Dini hiyo kushika hatamu Project Blue Beam | NEW WORLD ORDER PLAN
Mkuu ni Unidentified na siyo unknown
Kuna tofauti kati ya kutojulikana na kutokutambulika
Language is inexact!
Pia wanaposema UFO hawamaanishi shooting stars au vimondo
UFO ni viumbe hai[Pia wana more Advanced technology kuliko yetu],ambavyo hatutambui Sayari au Galaxy halisi vinapotoka
Ndiyo maana 2013 Akasema ni viumbe au wageni kutoka sayari ya mbali
Kwa sababu katika Inner-planets Dunia pekee ndiyo yenye viumbe hai.
Wakuu,hii Project sio kwa wakristo pekee yake ni kwa Dini zote
Kwanza,kwa faida ya wale ambao hawajua nini maana ya Hologram
Hologram,in Layman term,Ni picha ambayo huwezi kuitofautisha na kitu halisi,yaani ina urefu,upana,na kina kama wewe ulivyo
Bila kuambiwa,basi huwezi kutofautisha Hologram ya Obama na Obama mwenyewe.
Watatumia Anga unaloliona hapo juu kama screen ya kuzionyesha hizo Hologram.
Na hizo holograms hazitokuwa za Yesu pekee yake,hata Mtume Mohammad,Buddha,au krishina
Ila zitaonyeshwa kulingana na Dini kuu ya sehemu husika
Mfano,Saudi Arabia itaonyeshwa Picha ya Mohammad
China,picha ya Buddha
Vatican,picha ya Yesu