ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Ipo michango au maneno maarufu yanayovuma hapa jamiiforum kwa ma great thinker.maneno hayo yanajirudia rudia katika kila post
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread haikosi comment ya namna hio
1.weka picha
2.subiri waje/wanakuja
3 .Basi sawa
4.hahahahah
5. Tafuta kazi ya kufanya
6.shuleni mlikwenda kusomea ujinga
7.shule zimefungwa mnapost ujinga
8.hakuna cha kujadili
9.ulitumia kinga?
10.haya kachukue buku saba zako fasta
11.nafasi za UTEUZI bado ZIPO?
12.be first to reply
13.asante kwa taarifa
14.nimewahi seat ya mbele
15. _____________________
16.______________________
Kama Kuna mengine nimesahau nikumbushe
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread haikosi comment ya namna hio
1.weka picha
2.subiri waje/wanakuja
3 .Basi sawa
4.hahahahah
5. Tafuta kazi ya kufanya
6.shuleni mlikwenda kusomea ujinga
7.shule zimefungwa mnapost ujinga
8.hakuna cha kujadili
9.ulitumia kinga?
10.haya kachukue buku saba zako fasta
11.nafasi za UTEUZI bado ZIPO?
12.be first to reply
13.asante kwa taarifa
14.nimewahi seat ya mbele
15. _____________________
16.______________________
Kama Kuna mengine nimesahau nikumbushe