Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 817
- 752
Habari wa coding.
Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa hizi AI ambazo zinashindana kila kukicha ila CHATGPT anakosea sana kwenye coding inafika sehem hana majibu , lakini kwa huyu DEEPSEEK yuko vzuri sana kwa kuelezea namna ya kudili na prompt yako na ana andika code ndefu bila kukatakata au kokosea, na ukimwambia arekebishe akoseikosei kama CHATGPT, na sifa nyingine anayo ni kucopy code uliyompa arekebishe na modify kwenye tatizo na kuandika full code ambapo CHATGPT hafanyi hivyo.
Nipo na project ya kutengeneza bot wa ku trade crypto kwenye update wa TRIANGULAR ARBITRAGE , huyo DEEPSEEK ameandika code ambayo sijawai kuona toka nianza kutumia CHATGPT kwa topic ile ile ambayo niliuliza kwa CHATGPT.
Tatizo kubwa alilonalo DEEPSEEK kwa sasa ni kuzidiwa kwa server. Server zake ziko slow sana kutokana na kuzidiwa na request kama ilivyokuwa CHATGPT hapo awali. Usiku kuanzia saa 6 , server ziko fasta sana.
Kwa sasa natumia zote ila nimejikita sana kwenye DEEPSEEK kutokana na code zake ambazo ana andika, ziko very advanced compared to CHATGPT.
Lai yangu kwa watanzania: Tusiwe washabiki wa technolojia bila kuchua hatua ya kufikiri namna ya kutumia technolojia mpya kutatua changamoto za maisha(Especially financially), kwa sasa unaweza fanya chochote kinachoweza kukupa pesa kwa kutumia AI. Mfano unaweza andikia watu business plan, project proposal, research, content marketing etc.
Kwa watu wanaopenda entertainment unaweza tumia AI, ukatunga stori za kusisimua kama stori za mapenzi, kijasusi, kutisha n.k. Pia unaweza ukajifunza namna ya kukuza biashara yako kwa kuuliza kwenye hizi AI, ni njia rahisi sana ambayo inaweza ikakusaidia kukuza biashara kwenda next level.
AI imekuja kupunguza maswali mengi ambayo unayo kuhusu fursa ambazo unazo kama ideas, unaweza uka validate your business ideas before implementing...