Clouds FM Wakashifiwa Live Na Jerry Muro E FM

Status
Not open for further replies.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,424
120,762
Huku Akikaribishwa Kuzungumza Katika Kipindi Cha Sports Headquarters Cha E FM Katika SHAMRASHAMRA Za Kilele Cha Birthday Ya Hicho Kituo Msemaji Wa Klabu Ya Yanga JERRY MURO Ametoa Kashfa Zifuatazo Kwa Clouds FM Hasa KIPINDI CHA MICHEZO Hasa Akionekana Kuwalenga Shafii Dauda, Alex Luambano Na Fatuma Likwata Na Ambapo Alisema Kuwa Alishawahi Hata Mara Kadhaa KUWAVAMIA HAO WATANGAZAJI Hapo Ofisini Kwao Na KUWAKUNJA Na Kuwapa MAKAVU. Kashfa au Maneno Ya Shombo Aliyoyasema Jerry Muro Ni Haya Yafuatayo:
  • Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) Ni WASHAMBA.
  • Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) HAWANA UELEDI Katika UTANGAZAJI.
  • Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) WANAKURUPUKA.
  • Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) SIYO BORA Na WANABABAISHA Tu.
Hakika Kwa MANENO Na KASHAFA Hizi Za Jerry Muro Dhidi Ya CLOUDS MEDIA GROUP Hasa Kwa Clouds FM Ni MUENDELEZO Wa VITA KALI KATI YA HIVI VITUO VIWILI VYA REDIO Kwani Sasa Ni Rasmi Kuwa E FM Radio Station Ipo NYUMA YA KLABU YA YANGA Na Hilo Halina Ubishi Baada Ya Msemaji Huyo Wa Yanga KUISIFIA NA KUIPONGEZA KWA KIASI KIKUBWA HUKU KILA MARA AKIONEKANA KUIKASHIFU CLOUDS FM HASA HASA KIPINDI CHA MICHEZO Nyuma Yake AKISHANGILIWA Na WATANGAZAJI Wote Wa E FM.

Clouds Media Group Na Nyie TUNASUBIRI SASA TAMKO LENU Juu Ya HIZI KASHAFA NZITO ZA KIUELEDI AMBAZO Msemaji Wa Yanga Jerry Muro AMEWATOLEENI Kwani Kiukweli HAZIVUMILIKI Na Zinawachafueni Kwa Kiasi Kikubwa. Na Ili Kulidhihirisha Hilo Kuwa E FM Ipo Nyuma Ya Yanga Airtime Ambayo Amepewa Msemaji Wa Yanga Hapo Studioni Ni Kubwa Ambapo Mpaka Sasa Anaendelea Kuzungumza Na Zimefika Dakika 25 Wakati Airtime Aliyopewaa Msemaji Wa Simba Haji Manara Zilikuwa Ni Dakika 5 Tu.

UONGOZI MZIMA WA Clouds Media Group Na Hasa WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MICHEZO CHA SPORTS EXTRA Tafadhalini AMKENI Kwani MMEKASHIFIWA KWA KIASI KISICHOWEZA KUVUMILIKA.
 
We Gentaycine yaelekea hunakazi kazi yako kumfuatilia Jerry Muro maaana kwenye sakata la mzungupori ulimshupalia Jerry
 
Wakati unaandika huu uzi unafikiri umesikiliza peke yako au unataka kuleta uchochezi wa kijinga
Haji manara kapewa dk 5 au mwenyewe ndio kasema hana muda anaratiba ndefu muro yupo kwenye kipindi mpaka mwisho zhalafu unahesabu dk alizoongea si ujuha huo?
Na hakuna mahala kataja kituo chochote kama ingekua mimi nahusika na clouds ningekuburuza mahakamani kwa kututukana
 
Mi ccm bhana,inapenda radio yao,kaongea kweli Jerry muro
 
Clouds FM ni hovyo kabisa,Muro hajakosea.Clouds FM ni redio ya kusambaza propaganda za ccm
 
Kuweni wa kweli Muro ajataja kituo cha redio hayo ni mawazo yako mleta mada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…