Clinical Medicine / Clinical Officer.

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,643
3,669
Habari wakuu!
Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer).
Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
 
Clinical medicine ni kozi, Clinical ofisa ndo qualification ya clinical medicine
 
Habari wakuu!
Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer).
Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
Dogo achana nayo....omba optometry, physiotherapy au radiology...

Lakini kama unataka uwe daktari nenda ukasome kwa bidii uunge University moja kwa moja.
 
Kwa maana ukihitimu hii unaweza kuuga university moja kwa moja?
 
Sorry wakuu mm nina degree ya ualimu wa chemia na bios ila nataka nikasome course ya afya diploma je ni ipi nzuri na yenyesoko kwa sasa
 
Dogo achana nayo....omba optometry, physiotherapy au radiology...

Lakini kama unataka uwe daktari nenda ukasome kwa bidii uunge University moja kwa moja.
Fata huu ushauri, ndo sahihi kabisa Optometry, Radiology, Physiotherapy au hata Diploma ya Dental; clinical medicine currently haina deal, kwa private sehemu ambapo zamani alikuwa anaajiriwa CO sasahivi kuna MD wamejaa
 
CO ndo wanaoongoza kuajiriwa Serikalini kila mwaka, ila Private haina soko. Ukiingia Serikalini mambo sio mabaya.
 
Back
Top Bottom