GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,390
- 120,684
Ikifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake mwingi sasa anatumia kuwatembelea Wachezaji wa Simba SC waliokuwa Maswahiba
7. Chama kaumia sana kwa Kitendo cha Kukopwa katika Usajili wake na hadi sasa hajamaliziwa alichoahidiwa
GENTAMYCINE ninaijua Simba SC ndani nje na kwamba ukiihama au ukiondoka kwa Mbwebwe na Nyodo hautoboi ng'o!!