Dear Jimmy.
Mtu yoyote mwenye elimu ya kuanzia advanced diploma na mwenye uelewa wa kutosha wa kufanya uchambuzi yakinifu unaoweza kuongeza tija maofisini na taifa kwa ujumla anaweza kusoma kozi hii..tunamfundisha mtu jinsi ya ku audit mifumo ya Computer. ukizingatia organizations nyingi zimejenga mifumo yao juu ya IT, na wanategemea IT ku support their business strategy, so risk za IT sasahivi zimekuwa risk za organzation, so kuna umuhimu wa kuhakikisha kuwa ofisi inakuwa na wataalam ambao watai audit mifumo hii na kuishauri organization kama kweli assets za organization ziko secured and properly managed.
kwa maelezo zaidi tucheki kwa number 0713 451713 or 0764 978313..karibu sana