Chuo sahihi cha kusoma BSc in Civil Engineering

Feb 2, 2015
66
72
Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
 
Hapendi kwenda UDSM?Chuo Kikongwe na cha Kwanza Tanzania.Sisi alumni wa UDSM hatujawahi kusikitika Kusoma hapo.Wingi wa Wanafunzi Katika Chuo ni Mtaji Mkubwa Mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom