A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa chuo unaopelekea wanafunzi kushindwa kulipa ada ili waweze kufanya mitihani kwa wakati leo tarehe 8 Julai majira ya saa 7 usiku wanafunzi wapo ofisi za uhasibu wakijaribu kupata vitambulisho vya mitihani na asubuhi kukikucha waingie kwenye mitihani.
Changamoto inayotokana na mfumo wa malipo ya chuo kusumbua
Wimbi kubwa la wanafunzi limekutana na changamoto ya kufanya malipo ya ada yanayotokana na kuwepo na mfumo mbovu au dhaifu katika ufuatiliaji wa malipo na kupelekea wanafunzi kukosa vitambulisho vya mtihani, hali iliyopelekea wanafunzi kushinda maeneo ya chuo mpaka usiku wa manane bila mafanikio ikiwa asubuhi ya leo tarehe 8 mitihani inaanza.
Wanafunzi wakininginia madirisha ya wahasibu usiku kucha kutafuta id za mtihani bila ya mafanikio chanzo ikiwa ni udhaifu wa mifumo ya chuo