A
Anonymous
Guest
Habari za wakati huu? Mimi ni mdau wa JamiiForums lakin pia ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), campus ya Dar
Kuna kero inanisumbua sana kwa uongozi wa IFM, hadi sasa hivi chuo tunakidai refund za wanafunzi waliozidisha na wale waliongezewa mkopo wakakutwa washalipa tayari ada, nikiwa ni mmoja wapo.
Tukihoji viogozi wetu wanasema bado wanafuatilia, mara mfumo wa HELSB unasumbua wakati vyuo vingine washapatiwa mpaka za zamani.
Kweli mfumo ubadilike kwa IFM tu? Tumesema mpaka tumechoka sasa ndio maana nimekuja kupaza sauti huku ili sehemu husika iwafikie.
Hadi sasa hivi HELSB washaanza kupanga allocation kwa ajiri ya wanufaika wa mkopo kwa mwaka mwingine wa masomo 2024/2025, lakini kwa IFM bado tunadai pesa za mwaka wa masomo 2023/2024 wengine hadi za 2022/2023 bado hawajapata
Hii naona kama kero kwangu. Kwa niaba ya wanafunzi wezangu naomba mnisaindie kufikisha huu ujumbe sehemu husika