FighterOne JF-Expert Member Oct 2, 2016 313 277 Feb 2, 2017 #1 Jamani kuna mdogo wangu kafeli matokeo ya form IV sasa nafikiria kumpeleka katika fani za kujiajiri na nimewaza hairdressing na mambo kama hayo ya urembo. Je , kwa hapa Mwanza ni sehemu gani anaweza kupata mafunzo hayo? Msaada please!
Jamani kuna mdogo wangu kafeli matokeo ya form IV sasa nafikiria kumpeleka katika fani za kujiajiri na nimewaza hairdressing na mambo kama hayo ya urembo. Je , kwa hapa Mwanza ni sehemu gani anaweza kupata mafunzo hayo? Msaada please!
contej Member Jan 25, 2017 11 3 Feb 15, 2017 #4 Ni Nifo beauty College kipo mwanza kwa Flora lauwo aka flora show and production mm pia naenda pale
A Alice milindi New Member Jun 22, 2017 4 0 Aug 15, 2017 #6 Contej,vip unaweza nipa maelezo zaidi juu ya iyo college Sent using Jamii Forums mobile app
santos mtn JF-Expert Member Jul 9, 2015 347 369 Aug 25, 2017 #7 contej said: Anatoa cheti kwa Maelezo zaid ni PM Click to expand... Na mm pia nataka maelezo khs iko chuo Sent using Jamii Forums mobile app
contej said: Anatoa cheti kwa Maelezo zaid ni PM Click to expand... Na mm pia nataka maelezo khs iko chuo Sent using Jamii Forums mobile app