Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Mwalimu Nyerere Memorial Academy)

Feb 18, 2017
83
93
Ni chuo kilichoasisiwa na baba wa taifa hayati mwalm JK Nyerere miaka ya 1960 kwalengo la kufundusha maadili kwaviongozi wa umma.kwa wakati huo kilijulikana kama chuo cha kivukoni.chuo hiki kiliendelea kuwatoa viongozi bora wakiserikali na wakichama pia(ccm)mfano Mrema,Mangula,mkama na wengine wengi baada ya mfumo wa vyama vingi chuo hiki kiliendelea kutoa elimu kwa watanzania katika ngazi mbalimbali na ndipo kilikuja kubadilishwa jina na kuwa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere.Baba wa taifa ni moja ya viongozi wenye heshima kubwa nchini kwetu Tanzania na hata nje ya mipaka yetu kwa juhudi zake za kupigania ukombozi wa bara la Afrika lakin nasikitika kusema chuo kikuu walichokianzisha hakifanani kabisa na hadhi ya mwalimu nyerere mindombinu mibovu,hosteli chache sana sana,madarasa hayatoshi barabara ya kuingilia ndani ya chuo na zilizopo ndani hazitoshi yani inasikitisha!!!!nikiwa kama mdau wa elimu nmejaribu kukifananisha chuo cha mwalimu nyerere na chuo kama cha kenyatta,mandela,Lincolin,lumumba n.k ambavyo vyote hvyo n mahususi kwa kuwaenzi viongoz hao kusemaukwel chuo cha mwalimu nyerere serikali ikiangalie kimetengwa sana sana hata madarasa!?hosteli jengo moja!?hicho ndicho chuo maalumu chakumuenzi mwalimu nyerere.
Mdau wa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…