Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
124,751
236,798
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.

Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo baada ya kuanza kuwasomea mkataba wa Bandari na DP WORLD ya Dubai, mkutano huo uligeuka kuwa majonzi makuu

Screenshot_2023-09-03-22-09-32-1.png

======
Kabla ya Mkutano huu Mh Mbilinyi alimtukuza Mungu kwa kuhudhuria Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa la KKKT Mkwajuni , Mkoani Songwe , na kushiriki Harambee ya kuchangia Kanisa hilo , ambapo kutokana na Ushawishi wake zaidi ya Tsh 10 mil zilipatikana
 
Attachments

  • Screenshot_2023-09-04-00-14-55-1.png
    Screenshot_2023-09-04-00-14-55-1.png
    235.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_2023-09-04-00-14-47-1.png
    Screenshot_2023-09-04-00-14-47-1.png
    238.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_2023-09-04-00-14-41-1.png
    Screenshot_2023-09-04-00-14-41-1.png
    210.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_2023-09-04-00-14-31-1.png
    Screenshot_2023-09-04-00-14-31-1.png
    222.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_2023-09-04-00-14-24-1.png
    Screenshot_2023-09-04-00-14-24-1.png
    195.8 KB · Views: 5
Hamna kawa mpole kwa samia kila jambo baya la serikali hii anamrushia JPM hamtaji mama abdul direct kama sio uchawa ni nini?
Uko sawa kabisa, Mara kwa mara Zigo lolote la awamu ya sita amekuwa anatupia awamu ya tano!
Hamna kawa mpole kwa samia kila jambo baya la serikali hii anamrushia JPM hamtaji mama abdul direct kama sio uchawa ni nini?
 
Mfanyabiashara na mwekezaji wa kimataifa 😂 halafu ety mbunge wa Mbeya halafu jina ni mbilinyi
 
Mfanyabiashara na mwekezaji wa kimataifa 😂 halafu ety mbunge wa Mbeya halafu jina ni mbilinyi
Mbunge kwa miaka 10 , na hata sasa wana Mbeya wanaamini ni mbunge hadi sasa , wala hawajali ule udikteta wa kishamba , mpaka sasa halmashauri ya Mbeya imekumbwa na kashfa ya kuchepusha fedha
 
Mbunge kwa miaka 10 , na hata sasa wana Mbeya wanaamini ni mbunge hadi sasa , wala hawajali ule udikteta wa kishamba , mpaka sasa halmashauri ya Mbeya imekumbwa na kashfa ya kuchepusha fedha
Muwekezaji wa kimataifa au siyo.?
 
Back
Top Bottom